Ingia / Jisajili

Ee Mungu Uniumbie Moyo Safi

Mtunzi: Abel kirunda
> Mfahamu Zaidi Abel kirunda
> Tazama Nyimbo nyingine za Abel kirunda

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi

Umepakiwa na: Abel Kirunda

Umepakuliwa mara 109 | Umetazamwa mara 193

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Mungu wangu uniumbie moyo safi,uifanye upya Roho iliyotulia ndani yangu,(usinitenge na uso wako wala usiniondolee Roho wako Mtakatifu.)×2 Mashairi. 1.unioshe kabisa na uovu wangu unitakase dhambi zangu. 2.maana nimejua makosa yangu ,dhambi yangu I mbele yangu. 3.nimekutenda dhambi wewe peke yako na kufanya mbovu mbele za macho yako. 4.usitiri uso wako usitazame dhambi zangu uzifute hatia zangu zote.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa