Mtunzi: Mayebwa.ii.ek.
> Mfahamu Zaidi Mayebwa.ii.ek.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mayebwa.ii.ek.
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 419 | Umetazamwa mara 1,564
Download Nota Download MidiEe Mungu uturudishe, (Ee Mungu) Ee Mungu uturudishe x2. Uangazishe uso wako nasi tutaokoka x2
1.Wewe uchungaye Israel usikie, Wewe uketiye juu ya makerubi utoe Nuru uziamshe nguvu zako, uje Bwana utuokoe.
2.Ee Mungu wamajeshi tunakusihi, urudi utazame toka juu uone uujilie mzabibu mzabibu huu, mche ule uliopanda.
3.Mkono wako na uwe juu yake, mtu wa mkono mkono mkono wa kuume, uwe juu ya wanadamu uliyemfanya kuwa IMARA kwa nafsi yako.