Mtunzi: Emmanuel Missanga
> Mfahamu Zaidi Emmanuel Missanga
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Missanga
Makundi Nyimbo: Pasaka | Zaburi
Umepakiwa na: Emmanuel AlfredAlfred
Umepakuliwa mara 45 | Umetazamwa mara 50
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 5 ya Pasaka Mwaka C
EE MUNGU Wangu Mfalme, EE MUNGU Wangu Mfalme MUNGU Mfalme nitakutukuza X2
Nitalihimidi, Jina lako, Nitalihimidi Jina lako, Mi-lele na Milele.X2.