Mtunzi: Albert Katurumula
> Mfahamu Zaidi Albert Katurumula
> Tazama Nyimbo nyingine za Albert Katurumula
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Albdrt Katurumula
Umepakuliwa mara 9 | Umetazamwa mara 7
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 32 Mwaka B
KIITIKIO.
Ee nafsi yangu umsifu Bwana, Ee na fsi yangu umsifu Bwana, (Umsifu Bwana umsifu Bwana ) X2
Mashairi
01.Bwana huishika kweli milele, huwafanyia hukumu walio onewa,huwapa wenye njaa chakula, naye huwafungua walio fungwa.
02. Bwana huwafumbua macho walio pofuka, naye huwainua walio inama, Bwana huwapenda wenye haki, naam huwahifadhi wageni.
03. Bwana huwategemeza yatima na mjane, bali njia ya wasio haki huipotosha, Bwana atamiliki milele Mungu wako ee Sayuni kizazi hata kizazi.