Mtunzi: Respiqusi Mutashambala Thadeo
> Tazama Nyimbo nyingine za Respiqusi Mutashambala Thadeo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: respiqusi mutashambala
Umepakuliwa mara 1,250 | Umetazamwa mara 4,539
Download Nota Download MidiEE NAFSI YANGU UMSIFU BWANA
Zab.146:7-10
Ee nafsi yangu (nafsi yangu) ee nafsi yangu Yumsifu Bwana, umsifu Bwanax2
(Bwana huishika kweli milele) 1. Bwana ndiye ashikaye kweli milele, Huwafanyia hukumu walioonewa. Huwapa wenye njaa chakula, Bwana huwafungua wa liofungwa
2. Bwana huwafumbua macho waliopofuka, Huwainua walioinama, Bwana huwapenda wenye haki, huwahifadhi huwahifadhi wageni.
3. Bwana huwategemeza yatima na mjane,Bali njia ya wasio haki huipotosha, Bwana atamiliki milele, Mungu wako, ee Sayuni, kizazi hata kizazi