Ingia / Jisajili

Ee Yesu Mwema Karibu

Mtunzi: E. B. Mwasanje
> Mfahamu Zaidi E. B. Mwasanje
> Tazama Nyimbo nyingine za E. B. Mwasanje

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Edgar Mademla

Umepakuliwa mara 451 | Umetazamwa mara 1,678

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

frt. Thobias Mwanisawa Mar 18, 2018
Napongeza kwa ubunifu huu, ni hatua nzuri, mm nina oni japo oni langu linaniaibisha mimi mwenyewe, kwa sababu sijui mziki hata kidogo, yaani sina macho ya kusomea mziki, ila napenda sana maendeleo ya kwaya, na ukizingatia wanakwaya wengi na walimu hasa wa vijijini hawajawa exposed kwenye digital kwa hyo kupata hizi upadate inakua challenge kwao, so ambae nipo exposed(sio kwa ajili ya kujipatia sifa binafsi) na sijui nota natoa oni kua kwenye kila wimbo utakaokua uploaded kuwe na tone yake bila maneno ili nikiona na kusikia nifowadi kwa wanakwaya na walimu wa kwaya yangu. Thank you in advance

Toa Maoni yako hapa