Mtunzi: Yohanis F. Msambwa
> Mfahamu Zaidi Yohanis F. Msambwa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yohanis Msambwa
Umepakuliwa mara 5 | Umetazamwa mara 3
Download Nota Download MidiKiitikio
Ekaristi ni chakula cha uzima, Damu yake ni kinywaji cha uzima.
Mashairi
1.Ekaristi ni fumbo kubwa ni mwili wa bwana wetu Yesu kristo.
2. Damu yake iliyo mwagika pale Msalabani itusafishe sote.
3.Bwana Yesu anatualika sote tuijongee meza yake tukufu.
4.Njoo kwangu bwana mfariji wangu uishi kwangu daima na milele.