Ingia / Jisajili

Ekaristi Ni Chakula Bora

Mtunzi: Mweyunge Revocatus
> Mfahamu Zaidi Mweyunge Revocatus
> Tazama Nyimbo nyingine za Mweyunge Revocatus

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Revocatus Mweyunge

Umepakuliwa mara 198 | Umetazamwa mara 428

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ekaristi ni Yesu mzima, Ekaristi ni chakula bora x2 1. Anatualika wote tukampokee ekaristi ni Yesu mzima 2. Tule mwili wake Bwana tunywe damu yake tupate uzima wa milele 3. Katika maumbo ya mkate na divai Yesu yuko na sisi siku zote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa