Mtunzi: Peter Maganga
> Mfahamu Zaidi Peter Maganga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter Maganga
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 1,707 | Umetazamwa mara 6,898
Download Nota Download MidiEkaristi takatifu ni fumbo la imani Ekaristi takatifu ni fumbo la imani Bwana Yesu usiku ule aliotolewa aliweka sadaka ya Ekaristi ya mwili na damu yake x2
Ekaristi imetiwa alama isiyofutika na tukio la mateso na kifo cha Bwana ambayo sio kumbukumbu tu bali ni adhimisho laki sakramenti Kwa kuiweka Ekaristi Bwana wetu alisema Huu ni mwili wangu unaotolewa kwa akili yenu Hii ni damu yangu inayomwagika kwa ajili yenu Mtaguso wa Trento unafafanua wkamba mageuzo ya mkate na divai hubadili asili yote ya mkate kuwa asili ya mwili wa Kristu wa Kristu Bwana wetu na asili yote ya divai kuwa asili ya damu yake kuanzia wakati huo mwili na damu ya Bwana Yesu vistahilivyokuabudiwa hakika vipo mbele yetu chini ya maubo ya kisakramenti chini ya maumbo ya kisakramenti ya mkate na divai ya mkate na divai