Ingia / Jisajili

Ekarist Ni Chakula Chetu Cha Roho

Mtunzi: Fr. Aloyce Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Aloyce Msigwa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Gervas Kombo

Umepakuliwa mara 974 | Umetazamwa mara 3,406

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ekaristi takatifu chakula chetu cha roho

Ekaristi takatifu chakula chetu cha roho

Ekaristi takatifu chakula chetu cha rohoni

Mwili wake Bwana Yesu ni damu yake Bwana Yesu

1.       Waanzilishi: Ekaristi Takatifu ni mwili wake Bwana Yesu.

Wote: Ekaristi Takatifu ni chakula chetu cha Roho.

chakula chetu cha Roho(ni mwili wake) Bwana Yesu.(ni damu yake) Bwana Yesu.

2.       Ekarist Takatifu ni damu yake Bwana Yesu.

(Imba kama ilivyo hapo juu)

3.       Ekaristi Takatifu ni nguvu yetu ya Roho

3.(Imba kama ilivyo hapo juu)


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa