Ingia / Jisajili

Ekash Mass

Mtunzi: Mbondo Bernad
> Mfahamu Zaidi Mbondo Bernad

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Gervas Kombo

Umepakuliwa mara 315 | Umetazamwa mara 804

Download Nota
Maneno ya wimbo

Ekash mass lyrics MASS BY MBONDO BERNARD MWANIA TEL: +254701943386 EMAIL: bernajemo@gmail.com ADDRESS: 68 – 90119 Matuu (KENYA) Utuhurumie S/A Bwana( ee )bwana bwana tuhurumie T/B (ee bwana) All tumekosa bwana tuhurumie *2 S/A kristu (ee) kristu kristu tuhurumie T/B (ee bwana) All tumekosa bwana tuhurumie S/A Bwana( ee )bwana bwana tuhurumie T/B (ee bwana) All tumekosa bwana tuhurumie *2 Utukufu 1. Utukufujuukwamungu – na Amani koteduniani Kwaowatuwamapenzimema Tunakusifu baba twakuheshimu baba twakuabudu baba twakutukuza *2 2. Twakushukurumungumfalme – twakushukurukwautukufuwako Mfalmewambingundiwe baba yetu 3. Mwokoziwetuyesu kristu – mwanapekeemwana wake baba Uliyemwaanakondoowamungu 4. Uondoayedhambizote – uondoayedhambizadunia Maombiyetuyapokeekwako 5. Unayeketikuumekwake – unayeketikuumekwa baba Sikizasalazetuwanawako 6. Pekeeyakondiwe bwana – pekeeyakomkombozimkuu Pekeeyaakou’mtakatifu 7. Na kwapamojanayeroho – nandaniyake baba watukuzwa Ewe yesumileleamina Aleluyia Aleluyiaaleluyiaaleluyiaaleluyiaaleluyia*2 Nasadiki S Nasadikikwamungummoja All Nasadikikweli S/A Ndiye baba yetumwenyezi All Ninasadiki S Mwumbambingupiadunia All nasadikikweli S/A Nasadikikwayesu kristu All Ninasadiki Nasadi (ninasadiki) nasadi (ninasadiki) nasadikimimikwelininasadiki *2 2. Mwumbambingupiadunia – Mwenyekuzaliwakwa baba – Akapatamwilikwaroho – Kazaliwanayebikira – 3. Kishayeyekasulubiwa – Kwamamlakayakepilato – Kwaajiliyetukateswa – Ye akafanaakazikwa – 4. Kafufukakatikawafu – Akapaajuumbinguni – Ameketikuumekwake – Mungu baba yetumwenyezi – 5. Ndipoatakapotokea – Ili awahukumuwote – KwakeRohomtakatifu – Kwakanisa la katoliki – 6. Ushirikawawatakatifu – Ondoleo la dhambizetu – Nangojeaufufukowamiili – Na uzimawamilele – Maombi Ee bwana sikiakiliochetu – sisi (bwana) tunakuliliajangwani Mtakatifu Mtakatifu (mmh) mtakatifu(ee) bwana munguwamajeshi *2 Mbingunaduniambingunaduniazimejaautukufuwako *2 Hosanna( hosanna) hosanna (hosanna) hosanna, juumbinguni *2 Mbarikiwa (mmh) mbarikiwa (ni) yeyeajayekwajina la bwana *2 Hosanna( hosanna) hosanna (hosanna) hosanna, juumbinguni *2 Fumbo la Imani Twakiri kristu alikufa (kristu) akafufuka {kristu atakujakwetutena} *2 Amina Aaminaaaminaaaminaaaminaaamina *2 MWANAKONDOO Ee mwanakondoowamungu – mwana wake baba ee mwana ee mwana tuhurumie Ee mwanakondoowamungu – mwana wake baba ee mwana ee mwana tuhurumie Ee mwanakondoowamungu – mwana wake baba ee mwana ee mwanatujalieAmani


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa