Mtunzi: Plus Nicholas
> Mfahamu Zaidi Plus Nicholas
> Tazama Nyimbo nyingine za Plus Nicholas
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Plus Nicholas
Umepakuliwa mara 672 | Umetazamwa mara 1,771
Download NotaEMungu nchi yote itakusujudia na kukuimbia italiimba jina ako we mtukufu
1. Mpigieni Mungu kelele za shangwe imbeni utukufu wa jina lake
2. Tukuzeni siffa zake mungu mwambieni matendo yake yanatisha kama nini