Mtunzi: Kapchok Raphael Poghisho
> Mfahamu Zaidi Kapchok Raphael Poghisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Kapchok Raphael Poghisho
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Raphael Poghisho
Umepakuliwa mara 203 | Umetazamwa mara 802
Download Nota Download MidiEnendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri injili*2
1. Enyi mataifa yote, msifuni Bwana, enyi watu wote mhimidini*2
2. Maana fadhili zake, kwetu si nimkuu, na uaminifu wa Bwana ni wa milele*2