Mtunzi: Daniel Denis
> Mfahamu Zaidi Daniel Denis
> Tazama Nyimbo nyingine za Daniel Denis
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Daniel Denis
Umepakuliwa mara 471 | Umetazamwa mara 1,603
Download Nota Download MidiKiitikio: Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri , mkaihubiri, mkaihubiri injili.
1. Aleluya, Enyi mataifa yote msifuni Bwana,
Enyi watu wote mhimidini.
2. Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu,
Na uaminifu wa Bwana niwa milele.