Mtunzi: Eng. Marchius Tiiba
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng. Marchius Tiiba
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Eng. Epimachius Tibaijuka
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 21 Mwaka C
KIITIKIO
Enendeni ulimwenguni mwote,
Mkaihubiri Injili.
Maimbilizi
1. Aleluya!
Enyi mataifa yote, msifuni Bwana,
Enyi watu wote, mhimidini
2. Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu,
Na uaminifu wa Bwana ni wa milele.