Ingia / Jisajili

Enyi mataifa msifuni

Mtunzi: W. A. Chotamasege
> Mfahamu Zaidi W. A. Chotamasege
> Tazama Nyimbo nyingine za W. A. Chotamasege

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Zaburi

Umepakiwa na: Wilehard Chotamasege

Umepakuliwa mara 277 | Umetazamwa mara 854

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Enyi mataifa yote msifuni Bwana, msifuni Bwana kwa nyimbo nzuri imbeni kwa furaha kwa kumsifu Mwenyezi,msifuni Bwana kati ya mataifa ni mwenye enzi na Mfalme wa yote,ni mwenye enzi na Mfalme wa yote x2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa