Ingia / Jisajili

Enyi Wana Harusi

Mtunzi: Faustine Kihuluma
> Mfahamu Zaidi Faustine Kihuluma
> Tazama Nyimbo nyingine za Faustine Kihuluma

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Felician Luhenga

Umepakuliwa mara 104 | Umetazamwa mara 152

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Enyi wapenzi wana harusi, ingieni sasa hekaluni mwa Bwana, ili mapendo yenu yapate kibali na baraka za Mwenyezi Mungu x2 1.Mapendo yenu yapate mhuri wake Kristo, mkathibitishe kwamba upendo ni kupendana daima siku zote. 2.Jongeeni wapendwa mfunge ndoa yenu,mkajifunze kuwa kuna wakati wa shida na wakati wa raha. 3.Changamoto ni nyingi, mkavumiliane, mwombeni Mungu wenu awe msaada wenu katika maisha yenu. 3.Siku hii ya leo ni siku ya furaha, ni siku muhimu kwenu kumpata mwenza wako, daima mpendane.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa