Ingia / Jisajili

Enyi watu wa Galilaya

Mtunzi: Gabriel D. Ng'honoli
> Mfahamu Zaidi Gabriel D. Ng'honoli
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabriel D. Ng'honoli

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: Gabriel D. Ng'honoli

Umepakuliwa mara 606 | Umetazamwa mara 1,423

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Enyi watu wa galilaya mbona mwasimama mkitazama mbinguni? mlivyomwona akienda zake mbinguni ndivyo atakavyorudi Aleluya. 1. Basi enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu mkiwabatiza kwa jina la Baba na la mwana na la Roho Mtakatifu. 2. Na tazama tazama mimi nikakuwa pamoja nanyi nitakuwa nanyi hata ukamilifu wa dahari

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa