Ingia / Jisajili

Enyi watu wa sayuni

Mtunzi: Noel Babuya
> Tazama Nyimbo nyingine za Noel Babuya

Makundi Nyimbo: Majilio | Mwanzo

Umepakiwa na: Noel Babuya

Umepakuliwa mara 164 | Umetazamwa mara 549

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka C
- Katikati Dominika ya 3 Mwaka B
- Katikati Dominika ya 1 ya Majilio Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Enyi watu wa Sayuni, tazameni Bwana atakuja kutuokoa x2 1. Naye Bwana atawasikilizisha, sauti yake, ya utukufu, katika furaha ya mioyo yenu. Ee Bwana tunakuomba mambo, ya Dunia, ya yasitupinge, sisi tunaomkimbilia Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa