Ingia / Jisajili

Enyi Watu Wa Sayuni

Mtunzi: Yoronimo L. Anatory
> Mfahamu Zaidi Yoronimo L. Anatory
> Tazama Nyimbo nyingine za Yoronimo L. Anatory

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: Yoronimo Anatory

Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 26

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO Enyi watu wa sayuni tazameni Bwana atakuja, tazameni Bwana atakuja kuwaokoa mataifa. SHAIRI 1. Naye Bwana atawasikizisha sauti yake, ya utukufu katika, furaha ya mikyo yenu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa