Mtunzi: Yona Mwakihaba
> Mfahamu Zaidi Yona Mwakihaba
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Yona Mwakihaba
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 3
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 Mwaka C
Enyi watu wa Sayuni tazameni Bwana atakuja kuwaokoa mataifa
Mashairi
(1) Naye Bwana atawasikizisha sauti yake ya utukufu katika furaha ya mioyo yenu.