Ingia / Jisajili

Enyi Watu Wa Sayuni

Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 2,186 | Umetazamwa mara 5,899

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

ENYI WATU WA SAYUNI

//:Enyi watu wa Sayuni (tazameni) watu wa Sayuni
Bwana atakuja kuwaokoa mataifa,
Bwana atakuja kuwaokoa mataifa://

1. Nayo haki itakuwa mshipi wa kiuno chake, na uaminifu wake utakuwa mshipi wa kujifunga.

2. Chui naye mwana-mbuzi watalala pamoja, mtoto atawaongoza mwana-simba malishoni na ndama

3. Shina la Yese ishara ya kabila za watu, ndiye wamtafutaye na mahali pake ni pa utukufu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa