Mtunzi: Inocent F Shayo
> Mfahamu Zaidi Inocent F Shayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Inocent F Shayo
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: Inocent Shayo
Umepakuliwa mara 671 | Umetazamwa mara 2,092
Download NotaEnyi watu wagalilaya Mbona mmesimama mkitazama mbinguni mkitazama mbinguni, mlivyomwona akienda zake mbinguni, ndivyo atakavyorudi aleluya