Ingia / Jisajili  Changia

Essau A. Lupembe

Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE

Umepakuliwa mara 8 | Umetazamwa mara 6

Download Nota (TZS 20) Download Midi
Maneno ya wimbo

                                                                            MKE WAKO ATAKUWA

Mke wako atakuwa kama mzabibu(mzabibu) kama mzabibu (mzabibu) wenye kuzaa matunda ndani ya nyumba yako ya nyumba yako ...x2

1) Watoto wako wataizunguka meza yako kama vichipukizi vya mizeituni

2) Mtu mwenye haki atabarikiwa, nuru ya heri hutua nyumbani mwake

3) Uzao wako utakuwa hodari, kizazi chake kitatukuka mi-lele

4) Ndivyo atakavyobarikiwa amchaye Bwana atakavyobarikiwa amchaye Bwana

5)Awabariki Bwana Mungu kutoka Sion mwone heri siku zote za maisha yenu



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa