Ingia / Jisajili

Ewe Malkia Wa Mbingu

Mtunzi: Traditional
> Tazama Nyimbo nyingine za Traditional

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 894 | Umetazamwa mara 2,684

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

EWE MALKIA WA MBINGU

1. Ewe Malkia wa mbingu ewe Maria, Maria, hakuna tena uchungu, Aleluya, utuombee, utuombee Maria.

2. Mwana uliyemchukua ewe Maria, Maria, hakika kajifufua, Aleluya, utuombee, utuombee Maria.

3. Mwenyewe aliagua ewe Maria, Maria, kuzimu sitakawia, Aleluya, utuombee, utuombee Maria.

4. Kwani Mwanao ni Mungu ewe Maria, Maria, ukao wake ni mbingu, Aleluya, utuombee, utuombee Maria.

5. Nasi tuombee kwa Mwanao ewe Maria, Maria, tujaliwe makao mbingu, Aleluya, utuombee, utuombee Maria


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa