Mtunzi: Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Mfahamu Zaidi Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert A. Maneno (Aka Albert)
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Watakatifu
Umepakiwa na: Albert Maneno
Umepakuliwa mara 607 | Umetazamwa mara 2,994
Download Nota Download MidiEwe Mtakatifu Mama Theresa, Tunakuomba utuombee. Sisi wasafiri hapa duniani, Tunakuomba Utuombee. Uliuishi upendo wa Bwana Yesu Kristo wa kuwapenda na kuwajali wahitaji Mama. Walipata faraja kwa Upendo wako, huruma yako iliyotukuka Mama, Ewe Mtakatifu Mama Theresa, tunakuomba utuombee.