Mtunzi: Derick Nducha
> Mfahamu Zaidi Derick Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Derick Nducha
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Derick Nducha
Umepakuliwa mara 445 | Umetazamwa mara 1,331
Download Nota Download MidiFadhili za Bwana nitaziimba milele nitaziimba milele.×2
1.Fadhili za Bwana nitaziimba milele kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote.
2.Heri wale waijuao sauti ya Bwana We Bwana huenenda katika Nuru ya usi wako.
3.Maana fahari ya nguvu zao ni wewe Na kwa radhi yako pembe yetu itatukuka.