Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,041 | Umetazamwa mara 3,455
Download Nota Download MidiKiitikio: Fadhili za Bwana, nitaziimba milele, kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako x 2.
Mashairi:
1. Maana nimesema fadhili zitajengwa zitajengwa milele, katika mbingu utaudhibitisha uaminifu wako.
2. Heri watu wale waijuayo sauti ya shangwe, Ee Bwana huenenda katika nuru ya uso wako.
3. Kwa jina lako hufurahi mchana kutwa, na kwa haki yako hutukuzwa hutukuzwa.
4. Maana fahari ya nguvu zao ni wewe, na kwa radhi yako pembe yako itatukuka.