Ingia / Jisajili

FADHILI ZA BWANA NITAZIIMBA MILELE

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 384 | Umetazamwa mara 1,263

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
FADHILI ZA BWANA NITAZIIMBA NITAZIIMBA MILELE KWA KINYWA CHANGU NITAVIJULISHA VIZAZI VYOTE UAMINIFU WAKO.(1)Maana nimesema FADHILi zitajengwa MILELE katika mbingu utauthibitisha UAMINIFU WAKO.(2)Heri WATU wale waijuao sauti ya shangwe Ee Bwana Hu enenda katika nuru nuru yauso WAKO.(3)Kwa jina lake hufurahi mchana kutwa na kwa haki yako hutu-kuzwe.(4)Maana fahari yanguvu zao ni wewe na kwa radhi yako pembe yetu itatukuzwa.(5)Maana ngao yetu Ina Bwana namfalme wetu mtakatifu was Israeli.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa