Mtunzi: Michael Shija
> Mfahamu Zaidi Michael Shija
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Shija
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwaka wa Familia (2014)
Umepakiwa na: Michael Shija
Umepakuliwa mara 1,250 | Umetazamwa mara 7,979
Download Nota Download MidiKIITIKIO:
Famili ni nini, famila ni baba na mama na watoto wao, pia na jamaa wanaoishi nao,
Hilo ndilo kanisa la nyumbani pia ndilo chimbuko la imani ndilo msingi wa kanisa letux2
MASHAIRI:
1. Baba ndiye kiongozi wa familia, akisaidiwa na mama wa familia, wakisimamia familia kusali pamoja.
2.Kanisa la nyumbani ni familia bora, yenyekuishi kwa upendo na kwa amani, daima humpenda Mungu na majirani pia.
3. Kwenyefamilia ndipo imani yetu, inapoanzia kujengwa kwa watoto, hapo ndipo twapata mapadri, masista na walei bora.