Ingia / Jisajili

Familia Takatifu

Mtunzi: J. L. Ntilakigwa
> Mfahamu Zaidi J. L. Ntilakigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za J. L. Ntilakigwa

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Joseph Lazaro

Umepakuliwa mara 759 | Umetazamwa mara 1,791

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Familia Takatifu ni ile ya kumpendeza Mungu (Hiyo) Ni familia inayodumu katika pendo la Mungu Kupitia Maombezi ya Familia Takatifu ya Yesu Maria na Yoseph tunaomba Tudumu katika Umoja upendo Amani Katika Familia zetu Pia ushirikiano Busara Hekima Furaha Siku zote tuombee 1) Familia takatifu daima huamua na kutenda yaliyo mema Kama familia ya Maria Yoseph na Bwana Yesu 2)Familia Takatifu daima huamini katika sala na Maombi Kama familia ya Maria Yoseph na Bwana Yesu 3)Familia Takatifu daima hushiriki katika sakramenti zote kama Familia ya Maria Yoseph na Bwana Yesu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa