Ingia / Jisajili

Familia Za Kikristu

Mtunzi: Alexander Francis Sitta
> Mfahamu Zaidi Alexander Francis Sitta
> Tazama Nyimbo nyingine za Alexander Francis Sitta

Makundi Nyimbo:

Umepakiwa na: Alexander Francis Sitta

Umepakuliwa mara 470 | Umetazamwa mara 2,162

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Sala upendo ndio misingi ya familia (familia) familia za kikristu X2. Baba na mama tuzijenge familia zetu katika upendo na sala familia hiyo itampendeza mpendeze Mungu Mungu wetu X2.

Mabeti.

1.Familia yenye upendo upendo kwa jirani inampendeza Mungu hivyo waumini wote tupendane kama kristu anavyotupenda.

2.Jumuiya ndogondogo zinaimarisha zinaimarisha imani hivyo waumini wote tushiriki katika jumuiya zetu.

3.Watoto ni zawadi tulopewa na Mungu tuwarithishe misingi misingi bora ya familia zetu familia za kikristu.

4.Iweni wenye kuomba bila ya kuchoka Mungu atazibariki atazibariki familia zetu tuombeni bila kuchoka.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa