Mtunzi: André Makanga
> Mfahamu Zaidi André Makanga
> Tazama Nyimbo nyingine za André Makanga
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: André Makanga
Umepakuliwa mara 426 | Umetazamwa mara 1,615
Download Nota Download MidiFIKIRINI VIZURI JAMBO HILI
Fikirini vizuri jambo hili, enyi msionijali,
la sivyo nitawaangamizeni,
wala hapatakuwa na wa kuwaokoeni.
1. Bwana Mungu anena na mtu mwovu:
Ya nini kuzitajataja tu sheria zangu?
Kwa nini unasemasema juu ya agano langu?
2. Wewe wachukia kuwa na nidhamu,
na maneno yangu hupendi kuyafuata.
Kwa nini kujitangaza kama kondoo wangu?
Kwanini kusema kwamba wewe ni mkristo
ya ukristo na wafuasi wake Yesu.