Mtunzi: Patrick Konkothewa
> Mfahamu Zaidi Patrick Konkothewa
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Konkothewa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Misa
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 456 | Umetazamwa mara 2,054
Download Nota Download MidiHuu ni mwili wake Bwana Yesu na tuabudu, Hii ni damu yake Bwana Yesu na tuiabudu.
Ee Bwana tunatangaza kifo chako na kutukuza ufufuko wako mpaka utakapo kuja tena x2.