Ingia / Jisajili

Furaha Ya Ndoa Tunawatakia

Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,677 | Umetazamwa mara 6,427

Download Nota
Maneno ya wimbo

Furaha ya ndoa tunawatakia x 2
Kaka John, umepende sana mke wako na dada Lucy umpende sana mume wako x 2 

  1. Muishi miaka mingi muwaone wajukuu wa watoto wenu.
     
  2. Na mlitunze agano, hapo ndipo Mungu Baba atawabariki.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa