Ingia / Jisajili

Furahi Ee Yerusalemu

Mtunzi: Thomas Kumoso
> Mfahamu Zaidi Thomas Kumoso
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas Kumoso

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Thomas Yotham

Umepakuliwa mara 38 | Umetazamwa mara 84

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Furahi ee Yerusalemu na mshangilie ninyi nyote mpendao. Furahini kwa furaha ninyi nyote mliokuwa na huzuni Mpate kushangilia na kushibishwa wa utamu wa faraja zake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa