Mtunzi: Costantine E. Malonja
> Mfahamu Zaidi Costantine E. Malonja
> Tazama Nyimbo nyingine za Costantine E. Malonja
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Eleuter Massawe
Umepakuliwa mara 1,292 | Umetazamwa mara 2,460
Download Nota Download MidiKiitikio: Furahi Ee Yerusalemu furahini, mshangilieni ninyi nyote (ninyi nyote) mmpendao x2. Furahini ninyi nyote mliao kwa ajili yake mpate kunyonya na kushibishwa kwa maziwa ya faraja zake.x2
Beti (Saprano)
1.Nanyi mtapata kunyonya, mtabebwa juu juu ya magoti, mtabembelezwa nanyi mtafurahi.
Tenor & bass
2.Kwa kuwa umenifurahisha Bwana, kwa kazi yako nami nitashangilia, kwa ajili ya matendo ya mikono yako.