Mtunzi: Bro Simon A. Nyhekwa ( SIAN)
> Mfahamu Zaidi Bro Simon A. Nyhekwa ( SIAN)
> Tazama Nyimbo nyingine za Bro Simon A. Nyhekwa ( SIAN)
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Simon Nyhekwa
Umepakuliwa mara 6 | Umetazamwa mara 12
Download Nota Download MidiFurehi Ee Yerusalemu na kushangilia Nini nyote, mpendao,furahini kwa furaha, Nini nyote mliao kwa huzuni, mpate kushangilia na kushibishwa kwa utamu/ unono kwa utamu/ unono wa faraja zaje