Ingia / Jisajili

Furahi Ee Yerusalemu

Mtunzi: Yohana J. Magangali
> Mfahamu Zaidi Yohana J. Magangali
> Tazama Nyimbo nyingine za Yohana J. Magangali

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Yohana Magangali

Umepakuliwa mara 457 | Umetazamwa mara 860

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Furahi ee Yerusalemu na mkusanyike, ninyi nyote mmpendao: furahini kwa furaha, ninyi nyote mliokuwa na huzuni, mpate kushangilia, na kushibishwa kwa utamu wa faraja yake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa