Mtunzi: Andrew W. Kiwango
> Mfahamu Zaidi Andrew W. Kiwango
> Tazama Nyimbo nyingine za Andrew W. Kiwango
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Andrew Kiwango
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka C
Furahi Ee Yerusalemu na mkusanyike ninyi nyote mmpendao, furahini kwa furaha ninyi nyote mliokuwa na huzuni, mpate kushangilia na kushibishwa kwa utamu wa faraja zake x2
1. Furahini ninyi nyote mliao kwaajili yake mmpate kunyonya na kushibishwa maziwa ya faraja zake
2. Maana Bwana asema hivi tazama nitamwelekeza amani kama mto, na utukufu wa mataifa kama kijito kifurikacho, nanyi mtapata kunyonya.