Ingia / Jisajili

Furahi Ee Yerusalemu

Mtunzi: Hosea Nengo
> Mfahamu Zaidi Hosea Nengo
> Tazama Nyimbo nyingine za Hosea Nengo

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: HOSEA LUKASI

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Furahini Ee Yerusalemu na mkusanyike ninyi nyote mmpendao.

1: Furahini kwa Furaha ninyi nyote mliokuwa na huzuni mpate kushangilia.

2: Mpate kushangilia na kushibishwa Kwa utamu wa faraja zake.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa