Ingia / Jisajili

FURAHI EE YERUSALEMU

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 86 | Umetazamwa mara 394

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Fura-hi furahi Ee yerusalemu mshangilieni ninyi nyote m m pendao X2. 1. Fuahi ni ninyi nyote mlio kwa ajili yake mpate kunyonya na kushibishwa kwa maziwa ya faraja zake.2.Nanyi mtapata kunyonya mtabebwa juu ya magoti na kubembelezwa .

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa