Ingia / Jisajili

Furahi Yerusalemu

Mtunzi: Kelvin Tumaini
> Mfahamu Zaidi Kelvin Tumaini
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin Tumaini

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Kelvin Tumaini

Umepakuliwa mara 157 | Umetazamwa mara 572

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Furahi Yerusalemu mshangilieni ninyi nyote mmpendao*2

Furahi ninyi nyote mlio kwaajili yake mpate kunyonya na kushibishwa kwa maziwa ya faraja zake*2

  1. Mfano wa mtu ambaye mama yake humfariji, ndivyo nitakavyowafariji ninyi nanyi mtafarijiwa katika Yerusalemu.
  2. Nanyi mtaona na mioyo yenu itafurahi na mifupa yenu itafurahi kama majani mabichi, Na mkono wa Bwana utajulikana naye atawaonea adui zake ghadhabu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa