Mtunzi: Stephano M. Tani
> Mfahamu Zaidi Stephano M. Tani
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephano M. Tani
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: MAJALIWA TANI
Umepakuliwa mara 28 | Umetazamwa mara 25
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Furahi Jerusalemu shangilia, nyote mshangilieni mmpendao X2
SHAIRI
1. Furahini nyote mliao kwa ajili yake mpate kunyonya na kushibishwa maziwa ya faraja.