Mtunzi: Peter Kisoki
> Mfahamu Zaidi Peter Kisoki
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter Kisoki
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito
Umepakiwa na: ivan kahatano
Umepakuliwa mara 369 | Umetazamwa mara 1,716
Download Nota Download MidiHatimaye, ndugu zangu furahini katika Bwana, kuwaandikieni Mambo haya kwa wafaa ninyi, jihadharini na mbwa na wote watendao mabaya. Si kwamba nimekwisha kufika au nimekwishakamilika Bali nakaza mwendo nifike kwake Kristo.
1. Ndugu sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika ila natenda neno moja nikiyasahau yaliyo nyuma nikiyachuchumilia yaliyo mbele
2. Nakaza mwendo niifikirie mede ya thawabu ya mwito mkuu wa Mungu katika Kristo thawabu ya mwito mkuu katika Kristo Yesu.
3.Basi sisi tulio wakamilifu na tuyawaze haya hata mkiwaza mengine katika jambo lolote Mungu atawafunulia Hilo nalo