Mtunzi: Anno Nyoni
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 932 | Umetazamwa mara 3,006
Download Nota Download MidiAleluya, Aleluya Msifuni Bwana, Msifuni Bwana, Msifuni kutoka Mbinguni. Msifuni katika mahali, katika mahali pa juu, Msifuni, Msifuni; Msifuni, Msifuni, Msifuni, Msifuni; jua, mwezi nyota zote zenye mwanga Msifuni; Nanyi maji mlioko juu ya Mbingu vilisifu jina la Bwana; Kwa maana aliamuru viliumbwa, ALELUYA.