Mtunzi: Venant Mabula
> Mfahamu Zaidi Venant Mabula
> Tazama Nyimbo nyingine za Venant Mabula
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Edward Challe
Umepakuliwa mara 2,190 | Umetazamwa mara 5,684
Download Nota Download MidiKiitikio:
Haya kila aonaye kiu;njoni njoni majini.
Naye asiye na fedha njoni njoni nunueni mle njoni nunueni divai na maziwa,
njoni nunueni divai na maziwa, bila fedha na bila thamani.
1. Kwanini kutoa fedha kwa ajili ya kitu ambacho si chakula;
na mapato yenu kwa kitu kisicho shibisha.
2. Nisikilizeni kwa bidii mle kilicho chema;
na kujifurahisha nafsi zenu kwa unono.
3. Tegeni masikio yenu na kunijia;
sikieni nazo nafsi zenu zitaishi.