Mtunzi: Sylvanus Mpuya
> Mfahamu Zaidi Sylvanus Mpuya
> Tazama Nyimbo nyingine za Sylvanus Mpuya
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 889 | Umetazamwa mara 2,015
Download Nota Download MidiHayawi hayawi leo yamekuwa jamani tushangilie hayawi hayawi leo yamekuwa jamani tushangilie x2. Dada Rose (aiyelelele)amefunga ndoa tushangilie na Paulo (aiyelelele) amefunga ndoa tushangilie mbele yetu (aiyelelele) amefunga ndoa tushangilie.
1.Tunawaombea kwa Mungu Mwenyezi awape Maisha mema yenye Baraka tele.
2.Kwa shida na Raha mvumiliane msaidiane na pia Muombeane.
3.Upendo wa Yesu amani ya Yesu furaha ya Yesu itawale Maisha yenu.
4.Maisha ya ndoa ni utakatifu kumbukeni kuishi kwa kumpendeza Mungu.