Mtunzi: Goodlack Fute
> Mfahamu Zaidi Goodlack Fute
> Tazama Nyimbo nyingine za Goodlack Fute
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 385 | Umetazamwa mara 1,689
Download Nota Download Midipalipo wivu na ugomvi ndipo palipo na machafuko na kila tendo lililo baya lakini hekima itokayo juu kwanza ni safi tena ya amani na upole tayari kusikiliza maneno ya watu imejaa rehema na matunda mema na tunda la haki hupandwa katika amani na wale wafanyao amani----