Ingia / Jisajili

Heri - 8

Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 1,030 | Umetazamwa mara 3,339

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

HERI - 8

1. //:Heri walio maskini wa roho maana ufalme wa mbingu ni wao://

2. Heri heri wenye huzuni maana hao watafarijika.

3. Heri heri wenye upole maana hao watairithi nchi.

4. Heri wenye njaa na kiu ya haki maana hao watashibishwa.

5. Heri heri wenye huruma maana hao watapata rehema.

6. Heri heri wenye moyo safi maana hao watamuona Mungu.

7. Heri heri wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu.

8. Heri wanaoteswa kwa sababu ya haki maana ufalme wa mbingu ni wao


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa